Cristiano Ronaldo akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid dakika za 12 na 51 kwa penalti usiku wa jana katika ushindi wa 3-0 dhidi ya APOEL Nicosia ya Cyprus katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Bernabeu. Bao lingine la Real lilifungwa na Sergio Ramos dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Olympic gender-row boxer knocks out female opponent in just 94 SECONDS on
return to ring after using loophole to fight despite boxing's new sex tests
-
Olympic gender-row boxer Lin Yu-ting controversially romped to victory on
her return to the ring on Tuesday night, knocking out a 19-year-old female
univer...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment