Philippe Coutinho wa Liverpool (kushoto) akipiga shuti mbele ya mchezaji wa Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa St James' Park timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Coutinho alianza kuifungia Liverpool dakika ya 29, kabla ya Joselu kuisawazishia Newcastle dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Daniel Dubois sends next opponent message after devastating comeback
victory over Fabio Wardley
-
Dubois is now a two-time world heavyweight champion
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment