Neymar (kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake Dani Alves na Draxler baada ya kuifungia Paris Saint-Germain bao la pili dakika ya 52 kwa penalti katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Monaco kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Stade Louis II. mjini Monaco. Bao la kwanza lilifungwa na Edinson Cavani dakika ya 19, wakati la Monaco lilifungwa na Joao Moutinho dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
13 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment