Wayne Rooney akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 18, 28 na 66 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya West Ham United usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park, Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la nne lilifungwa na Ashley Williams dakika ya 78, ushindi ambao unamkaribisha vizuri kocha mpya, Sam Allardyce PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment