Mshambuliaji Mfaransa, Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid bao la kwanza dakika ya 69 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Roma kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano. Bao lingine la Atletico Madrid limefungwa na Kevin Gameiro dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Minnesota visits Seattle, seeks 25th victory this season
-
Minnesota Lynx (24-5, 16-2 Western Conference) at Seattle Storm (16-13, 9-7
Western Conference)
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment