Romelu Lukaku akiwa amemrukia mchezaji mwenzake wa Manchester United, Ashley Young kumpongeza baada ya kufunga bao pekee dakika ya 66 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton and Hove Albion kufuatia shuti lake kumbabatiza Lewis Dunk na kutinga nyavuni Uwanja wa Old Trafford leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment