Raheem Sterling akiruka juu kishujaa kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya sita ya muda wa nyingeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida ikiilaza 2-1 Southampton Uwanja wa Etihad usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanz la Man City lilifungwa na Kevin De Bruyne dakika ya 47, kabla ya Oriol Romeu kuisawazishia Southampton dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Who do fans think is the key player in each Premier League team?
                      -
                    
From the "soul of the team" to an "absolute warrior", here are the Premier 
League's 20 key players, as chosen by our fan writers.
37 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment