Bryan Cristante akimzidi ujanja Ashley Williams na kuifungia kwa kichwa Atalanta bao la pili dakika ya 63 akitoka kufunga la kwanza dakika ya 12 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya wenyeji, Everton usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool kwenye mchezo wa Kundi E Europa League. Mabao mengine ya Atalanta yalifungwa na Andreas Cornelius mawili pia dakika za 88 na 90 na ushei na Robin Gosens dakika ya 86 wakati la Everton lilifungwa na Sandro RamÃrez dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
42 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment