Nyota wa Barcelona, Lionel Messi (kulia) na mchezaji mwenzake, Luis Suarez wakiwalalamikia marefa kuwanyima bao kipindi cha pili usiku wa jana Uwanja wa Mestalla katika mchezo wa La Liga, Valencia. Shuti la Messi lilivuta mstari wa lango, lakini kipa Norberto Murara 'Neto' akaokolea ndani timu hizo zikitoka sare ya 1-1, Rodrigo Moreno Machado alianza kuwafungia Valencia dakika ya 60, kabla ya Jordi Alba kuwasawazishia dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
14 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment