Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 76 ikiwalza Malaga 3-2 katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Karim Benzema dakika ya tisa na Casemiro dakika ya 21, wakati ya Malaga yamefungwa na Diego Rolan dakika ya 18 na Gonzalo Castro PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
42 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment