Willian akifurahia na mchezaji mwenzake wa Chelsea, Eden Hazard baada ya kufunga mabao mawili dakika za 36 na 85 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Qarabag usiku wa Jumatano Uwanja wa Bakı Olimpiya mjini Baku. Mabao mengine ya Chelsea katika mchezo huo wa Kundi C yamefungwa na Hazard dakika ya 21 na Cesc Fabregas dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
54 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment