Mshambuliaji wa Juventus, Gonzalo Higuain akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi timu yake dakika ya 12 ikiilaza 1-0 timu yake ya zamani, Napoli katika mchezo wa Ligi Kuu ya Italia, maarufu kama Serie A usiku wa jana Uwanja wa San Paolo mjini Napoli PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man Utd agree £74m deal for Leipzig striker Sesko
-
Manchester United agree a deal worth £73.7m (85m euros) with Red Bull
Leipzig to sign Benjamin Sesko.
50 minutes ago
0 comments:
Post a Comment