Magwiji wa soka, Diego Maradona wa Argentina na Pele wa Brazil wakifurahia pamoja wakati wa droo ya upangaji wa ratiba na makundi ya Kombe la Dunia jana mjini Moscow, Urusi. Kwa muda wanasoka hao wamekuwa na upinzani mkali tangu wanacheza, lakini siku za karibuni wameanza kuelewana na kufurahi pamoja PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Former Manchester United stalwart opens up on controversial exit
-
Former Manchester United star had a controversial exit after his 12 years
stint at Old Trafford.
19 minutes ago
0 comments:
Post a Comment