Beki wa Real Madrid, Sergio Ramos akitoka nje baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 86 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano katika mchezo wa La Liga dhidi ya wenyeji, Athletic Bilbao uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa San Mames. Hiyo inakuwa mara ya 19 kwa Ramos kutolewa kwa kadi nyekundu na kuweka rekodi ya mchezaji aliyepata adhabu hiyo mara nyingi zaidi katika La Liga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Old school' Rahul's discipline makes him one of the best openers - Dasgupta
-
BBC Sport's Deep Dasgupta says KL Rahul's ability to "play late, inside the
lines" makes him one of the best openers in world cricket.
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment