Son Heung Min akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la kusawazisha dakika ya 25 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja Vicarage Road, Watford, Bao la Watford limefungwa na Christian Kabasele dakika ya 13 katika mchezo ambao, Davinson Sanchez wa Spurs alitolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa mopja kwa kugombana na kiungo Mbrazili, Richarlison PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Matt Damon Revives Iconic Impression for All-Star ‘SNL’ Cold Open
-
Returning host Matt Damon reprised his famous role as Supreme Court Justice
Brett Kavanaugh in the latest Saturday Night Live cold open. Damon first
appear...
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment