Kiungo zao la timu ya vijana, Grady Diangana akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili West Ham United dakika za 67 na 82 katika ushindi wa 8-0 dhidi ya Macclesfield kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England Uwanja wa London. Mabao mengine ya West Ham yamefungwa na Michail Antonio dakika ya 29, Robert Snodgrass mawili dakika za 32 na 60, Lucas Perez dakika ya 39, Ryan Fredericks dakika ya 51 na Angelo Ogbonna dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Scunthorpe player and Forest fan among train attack victims
-
Scunthorpe United footballer Jonathan Gjoshe, 22 and Nottingham Forest fan
Stephen Crean were stabbed.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment