Mesut Ozil (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Watford leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London kufuatia Craig Cathcart kujifunga dakika ya 81 kuwapatia Washika Bunduki hao bao la kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Starmer turns to Gordon Brown to save faltering premiership
-
Sir Keir Starmer has brought Labour heavyweights Gordon Brown and Harriet
Harman back into government in an attempt to shore up his premiership.
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment