Bondia Muingereza, Anthony Joshua (kushoto) akifurahia baada ya kumshinda mpinzani wake, Mrusi Alexander Povetkin kwa Knockout (KO) raundi ya saba usiku wa Jumamosi Uwanja wa Wembley mjini London na kuongeza mkanda wa WBA katika orodha ya mataji yake, mengine yakiwa ni ya IBO, IBF na WBO na sasa anakabiliwa na pambano la kuwania taji la WBC linaloshikiliwa na Mmarekani Deontay Leshun Wilder ili awe bingwa wa dunia wa uzito wa juu asiyepingika PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Scunthorpe player and Forest fan among train attack victims
-
Scunthorpe United footballer Jonathan Gjoshe, 22 and Nottingham Forest fan
Stephen Crean were stabbed.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment