Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba akitumia mwili wake kuulinda mpira dhidi ya wachezaji wa West Ham United, Noble na Fabian Balbuena katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa London. West Ham imeshinda 3-1, Pogba akitolewa dakika ya 70 kumpisha Fred. Mabao ya Wagonga Nyundo wa London yamefungwa na Felipe Anderson dakika ya tano, Victor Lindelof aliyejifunga dakika ya 43 baada ya kubabatizwa na shuti la Andriy Yarmolenko na Marko Arnautovic dakika ya 74, wakati la United limefungwa na Marcus Rashford dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
48 minutes ago
0 comments:
Post a Comment