Erik Lamela (kushoto) akishangilia na Danny Rose (wa pili kushoto), Harry Kane (wa pili kulia) na Lucas Moura (kulia) baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la pili dakika ya 76 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Brighton & Hove Albion Uwanja wa The AMEX. Bao la kwanza la Spurs lilifungwa na Kane kwa penalti dakika ya 42 wakati la Brighton limefungwa na Anthony Knockaert dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Scunthorpe player and Forest fan among train attack victims
-
Scunthorpe United footballer Jonathan Gjoshe, 22 and Nottingham Forest fan
Stephen Crean were stabbed.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment