Wachezaji wa Liverpool, Mohamed Salah na Roberto Firmino wakifanya mazoezi jana viwanja vya Melwood kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Chelsea Uwanja wa Stamford Bridge London. Liverpool inataka kulipa kisasi baada ya kufungwa 2-1 juzi katika mchezo wa Kombe la Ligi England Uwanja wa Anfiled na kutolewa mapema kwenye michuano hiyo maarufu kama Carabao Cup PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Scunthorpe player and Forest fan among train attack victims
-
Scunthorpe United footballer Jonathan Gjoshe, 22 and Nottingham Forest fan
Stephen Crean were stabbed.
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment