Mshambuliaji Sergio Aguero akiwa ameshika jezi yake baada ya kusaini mkataba wa kuendelea kufanya kazi kwa mwaka mmoja zaidi Manchester City hadi mwaka 2021 kwa mshahara wa Pauni 220,000 kwa wiki. Aguero, mwene umri wa miaka 30, amefunga mabao zaidi ya 200 tangu amejiunga na Man City mwaka 2011 na ndiye mfungaji bora wa muda wote wa klabu baada ya Novemba mwaka jana kuvunja rekodi ya miaka 78 iliyowekwa na Eric Brook PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Yankees fans demand Aaron Boone is fired as season hits new low and stands
of the brink of catastrophe
-
New York Yankees fans are demanding Aaron Boone is fired as season hits a
new low and stands of the brink of catastrophe following the franchise's
sweep at...
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment