Mshambuliaji Mgabon, Pierre-Emerick Aubameyang akibinuka sarakasi kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 59 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Bao la kwanza lilifungwa na mshambuliaji Mfaransa, Alexandre Lacazette dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Scunthorpe player and Forest fan among train attack victims
-
Scunthorpe United footballer Jonathan Gjoshe, 22 and Nottingham Forest fan
Stephen Crean were stabbed.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment