Danny Welbeck akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za tano na 37 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Brentford kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabo Cup usiku wa Jumatano wa Emirates mjini London. Bao lingine la Arsenal limefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI HAPA
Scunthorpe player and Forest fan among train attack victims
-
Scunthorpe United footballer Jonathan Gjoshe, 22 and Nottingham Forest fan
Stephen Crean were stabbed.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment