Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid bao la kwanza dakika ya 16 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Huesca kwenye mchezo wa La Liga jana. Mabao mengine ya Atletico yalifungwa na Thomas Partey dakika ya 29 na Koke dakika ya 33 Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Scunthorpe player and Forest fan among train attack victims
-
Scunthorpe United footballer Jonathan Gjoshe, 22 and Nottingham Forest fan
Stephen Crean were stabbed.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment