Mwanasoka Bora wa Dunia, Luka Modric (kushoto) na Gareth Bale wakiwa hoi baada ya Real Madrid kufungwa bao la tatu wakilala 3-0 mbele ya Sevilla katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumatano Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla. Mabao hayo yamefungwa na Andre Silva mawili dakika za 17 na 21 na Wissam Ben Yedder dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment