Cristiano Ronaldo wa akionyesha uwezo wake katika mchezo wa Serie A Juventus ikishinda 3-1 dhidi ya Napoli Uwanja wa Allianz mjini Torino. Ronaldo aliwasetia Mario Mandzukic kufunga bao la kwanza dakika ya 26 na Leonardo Bonucci la tatu dakika ya 76. Mandzukic alifunga pia la pili dakika ya 49, wakati bao la Napoli lilifungwa na Dries Mertens dakika ya 10 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Scunthorpe player and Forest fan among train attack victims
-
Scunthorpe United footballer Jonathan Gjoshe, 22 and Nottingham Forest fan
Stephen Crean were stabbed.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment