TIK TAK LA KIPAGWILE AZAM FC IKIICHAPA POLISI TANZANIA 1-0 CHAMAZI
Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Iddi Kipagwile akibinuka tik tak katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Polisi Tanzania Alhamisi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 1-0, bao pekee la Paul Peter dakika ya tatu
0 comments:
Post a Comment