Jeff Horn (kushoto) akiugulia maumivu ya konde la Mfilipino Manny Pacquiao (kulia) katika pambano la uzito wa Welter asubuhi ya leo Uwanja wa Suncorp mjini Brisbane, Australia. Pacquiao ametawala pambano na kumzidi kila mwenyeji, lakini ajabu Horn amepewa ushindi na majaji wote baada ya raundi 12 (117-111, 115-113 na 115-113). Kwa matokeo hayo Pacquiao amepoteza mkanda wake wa WBO na uwezekano wa kurudiana na Mmarekni Floyd Mayweather Jnr sasa ni mdogo baada ya kupoteza pambano la saba kati ya 68, akiwa ameshinda 59 na sare mawili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rory McIlroy fades at Truist Championship as Alex Fitzpatrick grabs lead
-
Masters champion McIlroy had six bogeys in a third-round 75 as he fell 13
strokes off the pace set by the Englishman.
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment