SAMATTA ALIVYOREJEA KAZINI ULAYA JANA BAADA YA MAPUMZIKO
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameposti picha hii kwenye ukurasa wake wa Instagram sambamba na maelezo; "Narudi kazini", akimaanisha anarejea katika klabu yake, KRC Genk nchini Ubelgiji baada ya mapumziko ya takriban mwezi mmoja nyumbani kufuatia kumalizika kwa msimu uliopita
0 comments:
Post a Comment