Lionel Messi wa Argentina akikimbilia mpira dhidi ya Arquimedes Figuera wa Venezuela katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika Kusini jana Uwanja wa Estadio Monumental Antonio Vespucio Liberti mjini Buenos Aires, Argentina timu hizo zikitoka sare ya 1-1, wageni wakitangulia kwa bao la Jhon Murillo dakika ya 50 kabla ya Rolf Feltscher kujifunga dakika nne tu baadaye kuwapatia wenyeji bao la kusawazisha PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Oregon quarterback leaves game against Wisconsin after hit to the face
-
EUGENE, Ore. (AP) — Oregon quarterback Dante Moore took a hit to the face
on a tackle and left the Ducks' 21-7 victory over Wisconsin late in the
third qua...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment