Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi England dakika ya 59 ikiilaza Slovakia 2-1 katika mchezo wa Kundi F kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi uliofanyika Uwanja wa Wembley jana usiku. Stanislav Lobotka alianza kuifungia Slovakia dakika ya tatu kabla ya Eric Dier kuisawazishia England dakika ya 37 na ushindi huo wa sita unaihakikishia Three Lions itamaliza kileleni mwa kundi hilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pittsburgh stadium worker in 'critical condition after falling 50ft from
scoreboard' before Sunday Night Football
-
A stadium worker in Pittsburgh fell about 50 feet from a scoreboard onto a
catwalk and was subsequently rushed to the hospital in critical condition
the ni...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment