Uwanja mpya mzuri zaidi duniani, wa MERCEDES-BENZ uliogharimu dola za Kimarekani Bilioni 1.5 kama unavyoonekana kwenye mwonekano mzuri haijawahi kutokea, ikiwemo paa la kufunga na kufungua. Uwanja huo ulifunguliwa mjini Atlanta, Georgia mwezi Agosti na utakuwa ukitumika kwa mechi na NFL na MLS – kwa kuanzia, Jumapili hii Atlanta United watacheza mechi yao ya kwanza ya MLS nyumbani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Referee controversy continues in Lazio vs Juventus after drama in Napoli
win over Inter
-
After refereeing controversy in Napoli’s 3-1 win over Inter, tonight’s game
between Lazio and Juventus has also had several key incidents that continue
to ...
14 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment