Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 74 katika ushindi wa Arsenal wa 5-2 dhidi ya Everton leo Uwanja wa Goodison Park kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Nacho Monreal dakika ya 40, Mesut Ozil dakika ya 53, Aaron Ramsey dakika ya 90 na Alexis Sanchez dakika ya 90 na ushei, wakati ya Everton iliyomaliza pungufu baada ya mchezaji wake, Idrissa Gueye kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano yamefungwa na Wayne Rooney dakika ya 12 na Oumar Niasse dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rory McIlroy fades at Truist Championship as Alex Fitzpatrick grabs lead
-
Masters champion McIlroy had six bogeys in a third-round 75 as he fell 13
strokes off the pace set by the Englishman.
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment