Mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 20, Rukia Anaf (kushoto) akimpita mchezaji wa Nigeria, Florence Ijamilusi jana katika mchezo wa marudiano wa kufuzu Kombe la Dunia mwakani nchini Ufaransa. Nigeria 'Falconets' ilishinda 6-0 na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 9-0 baada ya kushinda 6-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita kwao
Mary Imo wa Falconets (kushoto) akimfunga kipa wa Tanzanite, Wema Rashid (kulia) jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
Amoo Bashrat wa Nigeria akimpita beki wa Tanzania, Hadija Mohamed
Shamim Hamisi wa Tanzania akimiliki mpira mbele ya Florence Ijamilusi wa Nigeria
Kikosi cha Nigeria jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
Kikosi cha Tanzanite jana Uwanja wa Azam Complex kabla ya mchezo
Wolves set to make approach for Boro boss Edwards
-
Wolves are set to make an approach to Championship side Middlesbrough over
appointing Rob Edwards as their head coach.
31 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment