Cristiano Ronaldo (kulia) na Gareth Bale wakipongezana baada ya kila mmoja kufunga mabao mawili katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Deportivo La Coruna leo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Ronaldo alifunga dakika za 78 na 84, Bale dakika za 42 na 58 wakati mabao mengine ya timu ya kocha Mfaransa, Zinadine Zidane yamefungwa na Nacho mawili pia dakika za 32 na 88 na Luka Modric dakika ya 68 baada ya Adrian kutangulia kuifungia Deportivo dakika ya 23 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The final frontier: Why has Root never made a century down under?
-
Joe Root's lack of a century in Australia is well known but what are the
reasons behind it and how could he put it right during the Ashes?
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment