Kikosi cha timu ya Vijana ya Ilala ‘Kabakayeka’ kabla ya mechi ya Kombe la Tusker dhidi ya Simba SC Machi 14, mwaka 2002 Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru mjini Dar es Salaam. Wa pili kushoto waliochuchumaa ni kiungo Wilfred Kidau, ambaye kwa sasa ni Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
'Winning the Ashes would be Stokes' greatest miracle'
-
Winning the Ashes for England in Australia this winter would be Ben Stokes'
greatest miracle, says chief cricket reporter Stephan Shemilt.
39 minutes ago
0 comments:
Post a Comment