Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 75 kwa penalti na 86 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Bao lingine la Arsenal limefungwa na Alexandre Lacazette kwa penalti pia dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lionel Messi makes more MLS history as fastest player to 100 goals and
assists
-
Lionel Messi moved his career MLS totals to 59 goals and 41 assists in
Inter Miami's win, becoming the fastest player ever to 100 goal
contributions.
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment