Juan Cuadrado akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao la pili dakika ya 79 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya AC Milan usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Mabao mengine ya Juventus yamefungwa na Paulo Dybala dakika ya nane na Sami Khedira dakika ya 87 wakati la Milan limefungwa na Leonardo Bonucci dakika ya 28 katika mchezo wa Serie A, Italia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
“Absolute garbage” – talkSPORT pundit slams “£1billion” spending ‘worse
than poo’ Chelsea
-
One talkSPORT pundit has absolutely gone in on Chelsea after they failed to
beat Qarabag in the Champions League.Chelsea were held to a 2-2 draw at
Qarabag...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment