Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akimiliki mpira wakati wa mchezo wa La Liga kati ya timu yake, Real Madrid na Athletic Bilbao usiku wa Jumatano uliomalizika kwa sare ya 1-1 Uwanja wa Santiago Bernabeu. Inaki Williams alianza kuwafungia Athletic Bilbao dakika ya 14 kwa pasi ya Inigo Cordoba, kabla ya Ronaldo kuisawazishia Real Madrdi dakika ya 87 kwa pasi ya Luca Modric PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Great Barrier Reef sees sharpest annual coral decline in nearly four decades
-
Researchers say reef may reach a ‘point from which it cannot recover’
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment