Santi Cazorla akiifungia bao la kusawazisha Villarreal dakika ya 82 katika sare ya 2-2 na Real Madrid jana Uwanja wa Ceremica. Cazorla ndiye aliyefunga bao la kwanza la Villarreal pia dakika ya nne, wakati mabao ya Real Madrid yalifungwa na Karim Benzema dakika ya saba na Raphael Varane dakika ya 20 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Newcastle in advanced talks with Villa for Ramsey
-
Newcastle are in advanced negotiations with Aston Villa over a move for
midfielder Jacob Ramsey.
42 minutes ago
0 comments:
Post a Comment