Romelu Lukaku akishangilia na Alexis Sanchez baada ya kuifungia Manchester United bao la pili dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Reading leo kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la FA England Uwanja wa Old Trafford. Bao la kwanza la United limefungwa na Juan Mata dakika ya 22 kwa penalti, huo ukiwa ushindi wa tano mfululizo chini ya kocha mpya, Ole Gunnar Solskjaer baada ya kufukuzwa kwa Jose Mourinho PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The Sweet Saga of Ganong: Unwrapping New Brunswick’s chocolate legacy
-
When suppliers had difficulty keeping the shelves stocked, the Ganongs
decided to make their own—a sweet decision
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment