KMC BAADA YA KUWASILI MJINI KIGALI TAYARI KWA MECHI YAO CAF
Wachezaji wa KMC baada ya kuwasili mjini Kigali, Rwanda kwa ajili ya mchezo wao wa kwanza wa Raundi ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, AS Kigali kesho Uwanja wa Nyamirambo
0 comments:
Post a Comment