Nahodha Lionel Messi akisikitika baada ya Barcelona kuchapwa mabao 3-1 na wenyeji, Levante katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Ciudad de Valencia. Mabao ya Levante yamefungwa na Jose Campana dakika ya 61, Borja Mayoral dakika ya 63 na Nemanja Radoja dakika ya 68, wakati la Barcelona limefungwa na Messi kwa penalti dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants ace Logan Webb goes on 15-day IL with right knee bursitis, ending
consecutive start streak
-
Webb has made 156 consecutive starts for the Giants, dating back to 2021.
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment