DOMAYO, CHILUNDA WOTE WAFUNGA AZAM FC YAICHAPA MBUNI FC YA ARUSHA 3-0
Wachezaji wa Azam FC, kiungo Frank Domayo (kushoto) na mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda wakipongezana baada ya wote kufunga katika usindi wa Azam FC wa 3-0 dhidi ya Mbuni FC ya mkoani Arusha kwenye mchezo wa kirafiki jana usiku wa jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaa. Domayo alifunga dakika ya tatu na Chilunda dakika ya sita wakati bao la tatu lilifungwa na mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma dakika ya 68
Panic, fears over flooding
-
• More states issue evacuation notice to residents Amid apprehension and
tension, several states have issued evacuation warnings to citizens
residing in ...
0 comments:
Post a Comment