Sadio Mane akimalizia mpira uliopigwa na Trent Alexander-Arnold kufunga bao la ushindi kwa kichwa dakika ya 94 Liverpool ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Aston Villa leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Villa Park. Villa ilitangulia kwa bao la kiungo Mmisri, Mahmoud Ibrahim Hassan 'Trezeguet' dakika ya 21, kabla ya Mane kumsetia Andy Robertson kuisawazishia Liverpool dakika ya 87 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Aussie Olympics hero Jess Fox reveals her painful road to recovery after
shock surgery to remove a tumour
-
Three-time Olympic gold medallist Jess Fox has revealed the arduous
sporting journey which awaits following surgery to remove a tumour in her
kidney.
39 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment