MKUFUNZI SUNDAY KAYUNI AKIWAPA DARASA MAKOCHA WANAOSHIRIKI KOZI YA DIPLOMA C YA CAF
Mkufunzi wa Kimataifa, Sunday Burton Kayuni akiwafundisha washiriki wa Kozi ya Ukocha ya Diploma C ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) inayoendelea kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam. Kozi hiyo ya siku 28 inashirikisha Makocha 30 kutoka mikoa mbalimbali
Kocha wa makipa wa klabu ya Yanga, Manyika Peter ni mmoja wa washiriki
Kocha wa timu ya wanawake ya Simba, Mussa Hassan Mgosi ni mmoja wa washiriki
Washiriki wakimsikiliza kwa makini Mkufunzi Sunday Kayuni wakati akitoa somo darasani
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment