Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akimtungua kipa wa Sporting Gijon, Ivan Cuellar kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya tisa katika ushindi wa 6-1 kwenye mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Juan Rodriguez aliyejifunga dakika ya 11, Luis Suarez dakika ya 27, Francisco 'Paco' Alcacer dakika ya 49, Neymar Junior dakika ya 65 na Ivan Rakitic dakika ya 87, wakati la Sporting Gijon lilifungwa na Carlos Castro GarcÃa dakika ya 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Will McLaren be worried about Norris-Piastri relationship?
-
BBC Sport F1 correspondent Andrew Benson answers your latest questions
following the Hungarian Grand Prix.
30 minutes ago
0 comments:
Post a Comment