Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, makipa Aishi Manula wa klabu ya Simba (kushoto) na Ramadhan Kabwili (kulia) na mshambuliaji Ibrahim Hajib (katikati) wote wa klabu ya Yanga wakifurahia kwenye bwawa la kuogelea katika hoteli ya Sea Scape, Kunduchi mjini Dar es Salaam ambako Taifa Stars imeweka kambi kujiandaa naa mchezo wa kirafiki dhidi nya Malawi Jumamosi wiki hii Uwanja wa Uhuru, Jijini.
Thousands to cross Dartmoor Ten Tor finish line
-
Proud families, friends and mentors are waiting to watch their loved ones
complete the challenge.
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment