Mshambuliaji mpya wa Manchester United, Alexis Sanchez akipambana mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane kuwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley, London. Spurs imeshinda 2-0 mabao ya Christian Eriksen sekunde ya 11 na Phil Jones aliyejifunga dakika ya 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Excellent prospect' Ngumoha stars for Liverpool - but who is he?
-
Liverpool's second youngest ever player Rio Ngumoha shines again in
pre-season to get fans wondering if he could be part of the first team this
year.
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment